tag:blogger.com,1999:blog-3800748585498340355.post8794138239958610134..comments2023-12-19T14:43:59.428+03:00Comments on Rejoice and Rejoice: UCHUNGURejoice Alwayshttp://www.blogger.com/profile/02326228301726543556noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3800748585498340355.post-35918345756187077492012-11-05T13:26:17.103+03:002012-11-05T13:26:17.103+03:00DADA LUPHURISE hongera sana kwa huduma hii nzuri a...DADA LUPHURISE hongera sana kwa huduma hii nzuri ambayo Mungu amekupa. kweli kwa ujumbe huu utakuwa umewafikia wengi na hope pia wengi watapata uponyaji kwani katika ulimwengu huu kuna changamoto kibao kuanzia kukataliwa, kuondokewa na uliyempenda sana, kuachwa/kuachika, kutofikia malengo yako ya kimaisha kama kazi, kuoa/kuolewa, masomo, biashara n.k (list inaweza kuwa ndefu. Nashukuru sana mwandishi wa somo hili. umenisaidia sana, utasaidia wengine pia. songa mbele Anonymousnoreply@blogger.com