Pages

Wednesday, January 9, 2013

Mchungaji Florian Katunzi asema Mwaka 2013 ni Mwaka wa Nguvu

Mchungaji Florian Katunzi


Mchungaji Florian Katunzi wa Kanisa la EAGT-City Centre katika ujumbe wake wa Mwaka Mpya amesema Mwaka 2013 ni Mwaka wa Nguvu.

Watu watabarikiwa kwa Nguvu,

Watu watainuliwa kwa Nguvu,

Lakini pia ili kuona Baraka za Mungu kwa Nguvu itabidi kumtafuta Mungu kwa Nguvu kwa wale watakaolegalega itakula kwao.

Pia watanzania wanatakiwa kumtafuta Mungu kwa Nguvu kwa ajili ya Nchi yetu ya Tanzania.

 

 

 

Habari kwa ufupi kutoka Wapo Radio

No comments:

Post a Comment