Maneno hayo John Lisu aliyasema jana katika uzinduzi wa Albamu yake ya pili "Uko Hapa"
Uzinduzi huo umefanyika katika kanisa la CCC-TAG Upanga jana alasiri...
Kwa maneno yake alisema yeye hata kama atafika viwango vya juu sana hatakaa aache kuwa chini ya uangalizi wa Wachungaji wake. Maana imekuwa ni tabia ya waimbaji wengine wakishakuwa juu basi hawapatikani tena makanisani kwao,kitu ambacho si sawa...
Twende tuone yaliyojiri.....
|
The MC,The TV Host,Ze Blogger Papaa Sasali kama kawaida |
|
Next Level wakiimba
|
Watu wakisifu na kuabudu,kila mtu alikuwa na furaha
|
Next Level from CCC |
|
MC akicheza kwa Furaha |
Bishop Ranwell Mwenisongole kutoka CCC akifungua kwa neno na maombi,kulia kwake ni Pastor Deus Cheyo
|
Chidumule akipozi kusubiri kuanza kuimba,kwakweli kumtumikia Yesu kuzuri huyu baba anazidi kuwa kijana |
|
Hapa ilikuwa Celebrations....Shake your body... |
|
View ya Ukumbi w CCC kwakweli ni pazuri sana |
Now comes Glorious Celebrations on the Stage............watu weeeeeeeeee
|
Sebene ndio kama hiyo wazee kwa vijana twende kazini |
Pastor Safari alitupatia Surpriseeeeeeee....aliimba na the Voice yaani it was fantastic
Muda si muda wakaingia waimbaji wa siku hiyo ambao ndio wamefanya tuwepo mahali pale,John Lisu and the Team...Woww..Kwanza walikuwa simple na wamependeza sanaaaa
|
Huyu msichana jamani anaimba vizuri sana sanaaa |
|
Hapa unaweza kumuona John Lisu na my wife wake |
Wow wowww..Now comes on the Stage John Lisuuuuuuu.....tataraaaaaa....tataraaaa
|
Jehovah Yu Hai......Yu Hai Milele..Maitaifa......weweeee,haya wale wa sijui kwaito sijui kuruka ruka juuu..ndio hapo |
|
Wamependeza enheee si ndio jamani |
|
Naona wachungaji na wake zao nao wakifurahia |
|
Uko Hapaaaaaaaaaaaaaaaa...ooh My God sijui nisemeje juu ya huu wimbo mimi,yaani you can feel the presence of the Lord so Strong,Get your copy tu ndo nachoweza kusema |
Watu wakicheza na kupokea kwa furaha maana ilikuwa ni furaha na vilio vya furaha pia
|
Hapo sasaaaaa...... |
|
Unaweza kuona watu wakiwa katika uwepo |
John Lisu jana alitoboa siri ya nani anamtungia nyimbo zake...unataka kujua....Ni YESU....ndio maana ziko kama zilivyo
|
Yaani John Lisu anaimba kutoka ndani |
John Lisu na mke wake Nelly wakiombea baraka na kuzindua Albamu "Uko Hapa" na wachungaji wao wa kanisa la DPC
|
John Lisu ni mnyenyekevu sana hilo nililiona nilipoongea nae Live wakati wa Interview |
Imekaa vema sana
ReplyDeletewajina uko juu hop 1 day i will se u nadhani tunafanana kiutundu ndani ya YESU,hahaha
DeleteUzinduzi ulikuwa bomba sana mpendwa nami nilikuwepo kwa kweli upako wa Bwana ulishuka kwa namna ya kipekee na watu wakasujudu wakaabudu etc katika yote Bwana Yesu alipewa utukufu....keep it up John Lisu..pata nakala ya cd...madhabahu inayotembea ya kumwabudu Mungu wa kweli
ReplyDeleteTunashukuru sana blogger kwa kutujuza yaliyotokea kwa sisi tulio mbali...kama tulikuwepo vile. Ubarikiwe sana kwa huduma yako.
ReplyDeleteVery nice-i was there all the way from mombasa and it was indeed an awesome time in the presence of Jehova- and to the blogger.....)Ou captured it very well. Baraka tele -Nimo Demba
ReplyDelete