Uzinduzi
huo utapambwa na waimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili toka Nchi Tatu tofauti
kama vila Pastor Busi toka Afrika ya Kusini, Mellody Ndichu toka Nairobi
Kenya na Prince Kalema toka Uganda, Jojo Jose Mzee wa “Wastahili Sifa za Moyo
Wangu”,Joseph Nyuki,Tuntufye,David Robert,Stella Swai,Makondeko na Rungu la
Yesu kutoka hapa kwetu Tanzania. Double E Sisters na wengine weengi sana
watakuwepo….
|
Melody Kutoka Kenya ataimba |
|
Prince Kameta kutoka Uganda atakuwepo |
|
Pastor Pius Kutoka Africa ya Kusini ataimba |
|
Joseph Nyuki kama kawaida |
Kitu cha Pekee katika Tamasha hilo ni Kwamba FRED KAMETA ataimba nyimbo zake
zote Live sio kwa Kwa kuimba na CD.
Habari Njema ni kwamba hakutakuwa na KIINGILIO,
CDs Zitauzwa kwa shilingi elfu 3 TU.
Mnakaribishwa Wote tumsifu na Kumwinua Bwana kwa pamoja
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NUMBER 0713226808 NA 0767 22 6808
|
No comments:
Post a Comment