Pages

Monday, August 26, 2013

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Josephine Nkilla Minza Kuachilia Albam Yake Ya Pili Tarehe 22/9/2013


Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Josephine Nkilla Minza
 
Mwanamuziki aliyefanya vizuri wakati wa Sifa Zivume pamoja na Albam ya John Lisu alijukanaye kama Josephine Minza anatarajia kuachilia Albam yake ya 2 tarehe 22/9/2013  ambapo imejaa nyimbo zenye Ujumbe Mzito kwa ajili wa Kusifu na Kuabudu.
Maneno hayo aliyasema mwimbaji huyo katika Press Conference aliyoifanya na Christian Bloggers na waandishi wa Habari kutoka magazeti mbalimbali,iliyofanyika katika Hoteli ya Tamali Mwenge.



Kushoto Mwl.Mgisa Mtebe Mwenyekiti wa shughuli ya Josephine Minza


Christian Bloggers na waandishi mbalimbali wakiwa katika mahojiano na Minza.
 
Uzinduzi huu utafanyika  CCC Upanga kuanzia Saa nane mchana hadi jioni.
 

Kiingilio ni BURE.
 
Wote Mnakaribishwa

No comments:

Post a Comment