Pages

Wednesday, November 6, 2013

SIKU MBILI TU ZIMEBAKI MKESHA WA VIJANA KATIKA KULITAFUTA KUSUDI

 
 
Ule mkesha tuliokuwa tunausubiria bado siku mbili mpendwa nakushauri ujiandae kupokea maana Mungu ameandaa mambo makubwa kwa ajili yako wewe utakayechukua hatua ya kufika katika mkesha huo.
 
Njoo wewe unayetaka kulitafuta Kusudi Mungu alilokuwekea hapa duniani na hautaondoka kama ulivyokuja.
 
 
Ni Ijumaa hii tarehe 8/11/2013
 
Palepale St Columbus Youth Hall,Palm Beach Upanga




No comments:

Post a Comment