Pages

Friday, January 17, 2014

MKESHA WA VIJANA WA SASA NA WA ZAMANI WENYE KIU YA KUFIKIA NDOTO ZAO


Dear Wapendwa Young and old Youthes :-) !!!!

Tunayofuraha kuwaalika katika mkesha wa vijana katika kuukaribisha mwaka mpya 2014 kwa shukurani na celebration .

Huu si usiku wa kukoswa kwa vijana woote wa kike na kiume na watu wote wenye Kiu ya kufikia Ndoto Zao.

Ni muda wa kucelebrate with the Doxas, Anointed Voices, na PIA kucheka na MC Pilipili Emanuel Mathias na Richard Chidundo bila kukosa kujinoa kwa mwaka mpya with nondo from Rose Mushi / ROSE MUSHI (Life of a Dreamer) na Pastor C...arlos Ricky Wilson Kirimbai(Great Exploits)

Praise n Worship itaongozwa na the Doxas from
Word Alive Centre na Special animated Robotic Dance by Blessed Twins and Gods Generation.

!!!Free Entry, Drinks and Snacks Provided!!!

//coordinated, sponsored and brought to you by: Centre 4 Excellence [Masterminders Group], > Life Coach Luphurise Lema (
www.rejoice-and-rejoice.blogspot.com), Nyota Watoto Consultancy Firm, Youth Welfare Organization, Mwalimu Tim Kyara, (www.light2mypath.blogspot.com) and BAYnet Group

No comments:

Post a Comment