GET YOUR COPY NOW
Philipian 4:4
Philipian 4:4 "Rejoice in the Lord always. I will say it again: Rejoice!"
Showing posts with label Bahari Beach. Show all posts
Showing posts with label Bahari Beach. Show all posts
Monday, September 25, 2017
Wednesday, July 5, 2017
Wednesday, June 7, 2017
Tuesday, May 23, 2017
Saturday, April 1, 2017
UZINDUZI WA ALBAMU YA NENO YA FRIDA FELIX KESHO @TAG CITY HARVEST
![]() |
| Uzinduzi wa albamu hii kufanyika kesho tarehe 2 Aprili 2017 katika kanisa la TAG City Harvest Bahari Beach Kwa Mawasiliano zaidi piga +255 712 093 696 |
Labels:
Album launch,
Bahari Beach,
Event,
Frida Felix,
Gospel Music,
Neno,
TAG City Harvest
Wednesday, March 29, 2017
CITY HARVEST CHURCH WELCOMED TO TEGETA TAG SECTION
![]() |
| Mr & Mrs Chris Dondo marking birthdays and anniversaries with a cake |
![]() |
| Bishop Magila, from Dodoma South, a partner in Mpwapwa church planting mission |
![]() |
| Voice of Victory Choir from TAG Boko Basihaya singing at City Harvest |
![]() |
| Voice of Victory Choir from TAG Boko Basihaya singing at City Harvest |
![]() |
| Voice of Victory Choir from TAG Boko Basihaya singing at City Harvest |
![]() |
| WWK City Harvest giving recognition award to Tegeta Section WWK Director |
![]() |
| WWK City Harvest giving recognition award to Tegeta Section Overseer |
![]() |
| WWK City Harvest leaders welcoming the visitors |
![]() |
| William Vitalis receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Mary Mallya receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Sosthenes Mallya receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Lilian Kityege receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Ester Kaniki receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Edwin Ndibalema receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Joseph Buchoti receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Anna Kimaro receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Alexander Mtweve receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Abednego Mhagama receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| George Nzowa receiving a certificate upon graduating Spiritual Maturity Class |
![]() |
| Pastor Samwel Mwangu, the Spiritual Maturity Class Program Organiser |
Labels:
Bahari Beach,
City Shakers,
TAG City Harvest,
TAG Tegeta Section,
WWK
Friday, March 24, 2017
Tuesday, March 21, 2017
A GLORIOUS CITY HARVEST CAMPUS SUNDAY
![]() |
| Esther Bernard with City Shakers International and Campus Students leading Praise |
![]() |
| Pastoral Team during Praise and Worship session |
![]() |
| We do it like this.... |
![]() |
| Show me the dance.... |
![]() |
| Let the music praise His Holy Name |
![]() |
| Drumming praise to jesus |
![]() |
| Give Him praise |
![]() |
| Praise ON |
![]() | |
|
![]() | |
|
![]() |
| Mighty Warriors Children Class presenting a special song |
![]() |
| Mighty Warriors Children Class presenting memory verses |
![]() |
| Mighty Warriors Children Class presenting memory verses |
![]() |
| Students presenting a drama |
![]() |
| Attentively following the drama my Campus Students |
![]() |
| Students presenting a drama |
![]() |
| In attendance |
Saturday, March 18, 2017
UZINDUZI WA ALBAMU YA NENO YA FRIDA FELIX
![]() |
| Uzinduzi wa Audio Album kufanyika tarehe 26 Machi 2017 katika kanisa la TAG City Harvest Bahari Beach Kwa Mawasiliano zaidi piga +255 712 093 696 |
Labels:
Album launch,
Bahari Beach,
Event,
Frida Felix,
Neno,
TAG City Harvest
Thursday, March 16, 2017
Siku ya Wanawake yafana City Harvest
![]() |
| WWK katika picha ya pamoja na Wachungaji |
Maadhimisho ya siku ya wanawake katika kanisa la City Harvest lililopo Bahari Beach jijini Dar es Salaam yamekuwa na mvuto wa kipekee. Idara ya wanawake kanisani hapo (WWK) ambayo ndiyo iliongoza maandalizi ya maadhimisho ya siku hiyo, ilikuwa na mengi ya kuwasilisha ikiwa ni kuonyesha mchango wa wanawake katika kulijenga kanisa na kuujenga Ufalme wa Mungu kwa ujumla.
Mhubiri wa jumapili hiyo alikuwa Mchunagji Rose Mavika ambaye alisisitiza juu ya uchaji Mungu kama sifa kuu ya mwanamke katika kanisa. Neno kuu la siku ya wanawake mwaka huu lilitoka kitabu cha Mithali 31:30 “Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.”
Mchungaji Mavika aliendelea kusisitiza kuwa anayemcha Bwana ni wa tofauti, ana Roho njema kutoka kwa Bwana, na ikiwa mwanamke atakuwa mcha Mungu, basi familia, jamii na taifa zima litaambukizwa kumcha Bwana, kama ilivyokuwa ushuhuda kwa maisha yake.
Katika kuendelea kumcha Bwana, Mchungaji Mavika alitaja mambo makuu matano ya kuendelea kuyashika, ambayo ni Maombi, Neno la Bwana, Utoaji, Kukusanyika pamoja na Kushuhudia.
Katika maombi, mwanamke ni lazima kuibeba familia na jamii yake, na kuacha kufuata watu kama mke wa Ayubu (Ayubu 2:9), Safira mke wa Anania (Matendo 5), na pia Delila, ambao kutoka kwao hatujifunzi mambo mema.
Katika maombi ni muhimu kujitakasa kwani kufanya hivyo ni kama binti anayejiandaa kumpokea mchumba wake.
Vilevile Mchungaji Mavika alisisitiza kuhusu kusoma na kujifunza Neno la Bwana (Joshua 1:1-9; Wakolosai 3:16) ili kuendelea kusikia kutoka kwa Mungu.
Pamoja na hayo, msisitizo ulikuwepo kwenye utoaji sadaka na zaka (Malaki 3:7-10; Malaki 1:6-14; Kutoka 25) Kukusanyika pamoja (Waebrania 10:25) kwenye ibada za pamoja kanisani, welcome groups na kusanyiko la nyumbani.
| Mchungaji wa kanisa Matilda na Mchungaji Kiongozi Yared Dondo wakikata keki kuadhimisha siku ya wanawake |
Wanawake pia wanapaswa kuwa washuhudiaji, wahubiri wa Injili. Lakini juu ya yote, uhitaji wa kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu wa Mungu afanyaye kazi ndani yetu (Luka 24:49; Matendo 1:8)
Katika shughuli nyingine, wanawake walithamini mchango wa watu mbalimbali katika huduma yao ikiwemo Wachungaji na viongozi wao kwa kuwapa zawadi kama sehemu ya kuwashukuru na vilevile kuchangia gharama ya ununuzi wa samani kwa ajili ya ofisi ya Mchungaji wa kanisa la City Harvest ambalo limehamia katika jengo lake jipya Bahari Beach
Wanawake wa City Harvest pia waliongoza ibada ya siku hiyo ikiwa ni pamoja na kuwa na nyimbo maalumu, shairi na igizo kama sehemu ya maadhimisho hayo muhimu ya kila mwaka.
Wanawake wa City Harvest pia waliongoza ibada ya siku hiyo ikiwa ni pamoja na kuwa na nyimbo maalumu, shairi na igizo kama sehemu ya maadhimisho hayo muhimu ya kila mwaka.
| Mchungaji wa WWK Dk. Bertha Kipilimba akikabidhi zawadi kwa Mchungaji Kiongozi Architect Yared Dondo |
Mstari wa mwaka kwa WWK: Mithali 31:30 “Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.”
Labels:
Bahari Beach,
Rosemary Mavika,
TAG City Harvest,
Wanawake,
WWK
Subscribe to:
Posts (Atom)














































