Wapendwa Mnakaribishwa katika Semina ya Ndoa,hii sio ya kukosa kabisa
Mahali: City Harvest Church Mabibo,Victoria Filling Station Building,2nd Floor
Lini: 26/04/2013
Muda:3:00 hadi 12:00 jioni
SOMO: BIBLIA INASEMAJE JUU YA TENDO LA NDOA
Kujisalijili: Piga 0763700479,au 0784 333968
GET YOUR COPY NOW
Philipian 4:4
Philipian 4:4 "Rejoice in the Lord always. I will say it again: Rejoice!"
Monday, April 15, 2013
Thursday, April 11, 2013
Vitu muhimu vya kuangalia unapohitaji au kujiandaa kupata mwenzi wa wa Maisha-Part II
![]() |
| Watarajiwa hao |
Leo
tutaendelea na somo letu la uchumba hadi ndoa,tunaendelea kuangalia vitu muhimu
ambavyo mtu anatakiwa kuangalia au kuvifanya anapojindaa kupata mwenzi wa
maisha.
Katika
somo lililopita tuliangalia vitu ambavyo mtu anatakiwa kujifanyia mwenyewe,na
tuliangalia vitu muhimu vitatu ambavyo ni maombi,kuangalia kama wewe ni mtu
sahihi ambaye kweli unaweza kuishi na mtu mwingine na uhusiano wako binafsi na
Mungu ukoje.
Kabla
sijaendelea mbele naomba kukolezea katika swala la uhusiano wako na Mungu,mara nyingi
nimeona na kusikia wadada au wakaka wanataka wapate watu ambao wana uhusiano
mzuri na Mungu wakati wao they are far from
it,yaani hawana uhusiano mzuri na Mungu .
Uhusiano
ninaosema hapa sio kwenda kanisani wapendwa au kwenye tamasha,au kuwa na
urafiki na waimbaji wakubwa au watumishi,ninamaanisha ule ushirika wako na
Mungu umekaaje? Je Mungu ni rafiki yako? Je ni baba yako? je unawasiliana nae
kwa kiasi gani,ukipata crisis tu au wakati ukienda kanisani tu? Kama uko katika
kundi mojawapo hapo juu nakusihi kwa Neema ya Mungu ubadilishe mtazamo wako
mpendwa maana uhusiano wako na Mungu ni muhimu sana kukupeleka katika
mustakabali wako ambao Mungu amekuwekea hapa duniani.
Lakini
kama utakuwa na mahusiano hafifu na Mungu kwakweli mpendwa mambo yako mengi
hayatakwenda sawa,matokea yake utaweza kuchukia wokovu kumbe wewe mwenyewe ndio
mchawi wa maisha yako.Anza leo soma neno,omba,abudu na jishughulishe na mambo
yake nayeye atajishugulisha na mambo yake.
Hilo
jambo la mahusiano ni jambo ambalo lilinifanya niweze kufikia mustakabali na
kweli naweza kusema yeye ni Ebeneza na hata ninao wengi ninawajua wamefanikisha
kuwa katika mahusiano Mungu aliyekusudia kwasababu walikazana sana kumkaribia
Mungu,na Mungu aliweza kuwaepusha na mitego mibaya akawakutanisha na wenzi
aliowakusudia kwao.
Katika
somo lililopita nilizungumza juu ya kuwa na mtu mmoja wa karibu unayemwamini
awe prayer partner wako ni muhimu sana maana hata neno linasema Katika Mathayo 18:20 “Walipo wawili au watatu kwa
jina langu ,nami nipo katikati yao”. Katika Kiswahili kuna msemo unasema kwamba
umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Ukiomba na mwenzako unapata
nguvu,mnatiana moyo wa kuendelea mbele zaidi na zaidi,kupeana shuhuda,kwa
kifupi hutachoka na utaona Mungu akijibu maombi kwa njia ambayo utamshangaa si
katika swala na mwenzi wa maisha tu mambo yote.
Wednesday, April 10, 2013
Rick Warren's Son Takes Own Life After Lifelong Battle With Mental Illness
![]() |
| The Late Mathew Warren,Rick Warren`s Son |
The 27-year-old son of Pastor Rick Warren has
taken his own life after a lifelong struggle with mental illness. The
internationally known Christian leader at Saddleback Church in Lake Forest,
Calif., made the announcement about his son early Saturday morning in an email
sent to his staff.
"Over the past 33
years we've been together through every kind of crisis. Kay and I've been
privileged to hold your hands as you faced a crisis or loss, stand with you at
gravesides, and prayed for you when ill. Today, we need your prayer for
us," began the staff email from him.
Warren described
Matthew as "an incredibly kind, gentle, and compassionate man," as
those who grew up with him would also say.Friday, April 5, 2013
Wajue New Jerusalem Brothers ,waimbaji wa nyimbo za Injili wanaokuja juu na mtindo wa "Akapella" nchini Tanzania
![]() |
| New Jerusalem Brothers waimbaji wa Injili kwa mtindo wa Akapella nchini Tanzania |
Blogger: Naomba
majina yako kamili,na je unatumia Jina tofauti la kisanii? Tungependa kulijua
pia ili jamii iweze kukutambua kwa urahisi.
New Jerusalem Brothers Tz
Blogger:Umeokoka na unaabudu wapi
Yaap sisi
tunampenda Mungu sana kuliko chochote ndo mana tuna mtumikia kama vijana
Blogger Historia
yako kwa Kifupi ya kuimba,yaani ulianzaje na wapi?
Kikundi chetu kilianzishwa mwaka
2007 kikiwa na watu watatu ila mpaka sasa tupo sita
Blogger:Katika kuimba kwako je umeshatoa Album au single yoyote?
Itaje ina nyimbo ngapi?
Yaaaaaaap tuna album yetu mpya inayojulikana
kwa jina la nitamsifu bwana ni mpya bado haijaingia sokoni bado.
![]() |
| New Jerusalem Brothers katika perfomance |
Blogger:
Wimbo unaoupenda katika nyimbo zako
Nyimbo ziko nane siunajua sisi
nikikundi kila mtu atachagua ya kwake ila wimbo ambao tunaupenda sana unaitwa
Yesu wangu
Thursday, April 4, 2013
Tanzania police disperse Christians trying to burn mosque
Police in southern Tanzania used teargas Wednesday to disperse
about 200 Christian rioters attempting to torch a mosque over an animal
slaughtering conflict.
“The situation is now under control and there is not much damage, but two people including a policeman sustained stone injuries,” Mbeya Regional Police Commander Diwani Athumani told AFP.
Police arrived at the mosque in time to put out the fire.
Athumani said the estimated 200 rioters also destroyed property of
a Chinese firm building a road between the town of Tunduma where the incident
took place and Sumbawanga.
“At least 50 people have been arrested in connection with the
riots and efforts are still going on to apprehend more troublemakers,” the
police commander said.
He said tensions between Muslims and Christians in the area had
been rising over the slaughtering of animals for public consumption, a task
traditionally carried out by Muslims.
The issue of Christians performing the slaughtering sparked
tensions in different parts of the country, as Muslims fear they will not
respect Islamic rules.
Wednesday, April 3, 2013
Kenyan religious groups ready to work with President-elect
Amongst their first formal meetings as President and Deputy
President-elect of Kenya, Uhuru Kenyatta and William Ruto on Tuesday March 12
met senior religious leaders, even ahead of meeting outgoing President Mwai
Kibaki.
Uhuru emerged the winner by garnering 6 173 453 votes,
meeting the threshold of the country’s Constitution which required a 50% + 1
vote of all total votes cast. This was the first election to be held under a
new Constitution passed by Kenyans in 2010.
Tuesday, April 2, 2013
Resurrection: He is Risen, Indeed!
Easter Sunday. To many it means the Easter bunny, a day of food and celebration. For some it is an obligatory church-attending holiday, after which life goes on as usual.
How
sad that we have so quickly forgotten the true meaning of Easter. Our God
reigns! Jesus Christ died, yes. But even more importantly, He rose again and is
now seated at the right hand of God the Father, as we say in the Lord's Prayer.
Jesus
Christ literally defied death. But He did more than just a Houdini move. We
"ooo" and "ahhh" over the narrow escapes by magicians like
David Copperfield and others, but eventually even those daredevils will face
death. Their power is limited.
Subscribe to:
Posts (Atom)





