Tuesday, September 4, 2012

Welcome to Rejoice and Rejoice Blog

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana sana Mungu wetu aliye juu,kwa kuwezesha blog hii kuanza. Najua bila Mungu mimi si kitu si chochote maana yeye ndio anayeweka mawazo katika akili zetu ya kufanya vitu,namtanguliza yeye na nasimamia ule mstari katika biblia kutoka katika Kitabu cha Zaburi or Psalms 23:1 " Bwana ndiye mchungaji wangu,sitapungukiwa na kitu" najua sitapungukiwa na kitu kwa maana yeye anaishi ndani yangu....Halleluyaaaa..
Namshukuru mume wangu mpenzi Henry na babies wangu..my girls maana I know pia bila wao si rahisi kabisa hii Blog ianze,i can say kwa kunivumilia hata pale ninapokosa muda wa kuwa nao for sometime hasa napokuwa napost post humu blogini....
Basi niwashukuru nyie woote marafiki,ndugu,washirika na wadau woote...
Shukrani za pekee my daughter of honor Philipina Msaki...www.afrikasasa.blogspot.com kwa ushauri na kunitia moyo katika hili...meeting held at Kibada...wow.....


Karibuni sana sanaaa,ndani humu kushauriana na kutiana moyo katika maisha Mungu aliyotupa hapa duniani....
Naamini katika utatu Mtakatifu,Mungu Baba,Mwana na Roho Mtakatifu
Naamini kwamba Bwana Yesu alikufa na akafufuka na siku ya mwisho atakuja kunyakua na kuchukua Kanisa meaning wote waliokufa katika yeye...so mpendwa wangu tukazane siku hiyo tusije tukaachwa....Ameeen

4 comments:

 1. THANK YOU SO MUCH MAMA KWANZA KWA KUNIKUMBUSHA HII ZABARI, NA PIA KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA BLOG, TUOMBE MUNGU AINUE WATU WENGI KWENYE HUU ULIMWENGU WA KUSHARE MAMBO YA KIROHO ZAIDI NA EXPERIENCE ZA MAISHA.

  ReplyDelete
 2. Amen. unitisha mamii sio siri I like it. you have really encouraged me to stand on GOD and not to try to terereka jamani.

  ReplyDelete
 3. Ameeen my dear,Mungu atusaidie tukazane kwakweli

  ReplyDelete
 4. Be blessed much for your inspirational idea.. we are enjoying and being couraged by this blog.

  ReplyDelete