Wednesday, November 27, 2013

Uchumba hadi Ndoa: Je unaweza KusameheKaribu tena katika masomo haya ya uchumba hadi Ndoa,tunaendelea na mtiririko wa Vitu muhimu vya kufanya au kuangalia kabla hujaoa au kuolewa.

Somo letu la leo tutaangalia upande wetu wenyewe tukiangalia kama wewe mwenyewe unayetegemea kuoa au kuolewa Je Unaweza Kusamehe?

Najua utaniuliza sasa mimi nitajuaje kama naweza kusamehe au Lah, Kwani nimeolewa au kuoa?

Ni Kweli hujaolewa bado au hujaoa lakini maisha unayoishi sasa iwe ni na ndugu zako, na rafiki, wanafunzi wenzako,majirani zako, wafanyakazi wenzako,wanakwaya wenzako n.k yanatoa picha kubwa kwamba wewe ni mtu unayeweza kusamehe au lah.

Kama wewe pale nyumbani mdogo wako akikukosea wewe ni mtu wa kushika bango kubwa kutaki kabisa kusamehe mpaka ukoo ukae chini kuwapatanisha inaonyesha kabisa wewe si mtu wa Kusamehe kwa urahisi na tabia hii utaipeleka kwa urahisi sana kwenye ndoa.

Au wewe pale shule au Chuoni ni mtu ambaye huwezi kusamehe kabisa kwasababu labda mwanachuo mwenzako amekukwaza akakuomba msamaha lakini wewe hukumsamehe na hadi mmemaliza chuo au shule umeuendeleza ule uadui , hiyo ni dalili kubwa kwamba siku huyo mwenzako akija kukukosea kuna uwezekano mkubwa sana wa kutomsaheme.

Kuna mtu nakumbuka alikuwa shuleni akagombana na mwenzake yaani huo ugomvi haukuisha na hakuna hata mmoja aliyetaka kusamehe kwahiyo mpaka leo Zaidi ya miaka kumi hao watu wameendelea kuwa maadui na kitu kilichowafanya wagombane kilikuwa kidogo sana.

Sasa hao watu unategemea kwamba kwenye ndoa kama mwenzao atawakwaza watasamehe kweli kama sio msaada wa Kristo Yesu tu.

Watu wengine wameokoka kabisa lakini utasikia anasema yaani I am so delicate mimi ukinigusa nakaa mbali na wewe hiyo ina maana huwezi kusamehe au kuchukuliana na mwenzako.

Unatakiwa kujua kwamba vitabia fulani ulivyo navyo ambavyo ama kwa kujua kutokujua hutaki kuvishughulikia vina madhara makubwa sana katika ndoa maana vitakuja tu kujitokeza hasa pale ambapo mtakuwa mmeshazoeana na mwenzako, tena ndio vitakuwa dhahiri kabisaaaa.


Neno la Mungu katika Mathayo 6: 14 – 15 Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia. 15 Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.”


Kwahiyo nakushauri amua leo kujifunza kusamehe kwanza maana kama umeokoka au ni Mkiristo na husamehi na wewe Mungu hatakusamehe makosa yako. Kwahiyo utakuwa Mkristo Jina.

Ndugu zangu Msamaha sio Rahisi, lakini hatuna Budi Kumuomba Mungu kutupa neema na uwezo wa kusamehe hata kama mtu ametukosea mara nyinge kiasi gani.

Friday, November 22, 2013

A Weekend Gift from Rejoice and Rejoice Blog

Hallelujah, as weekend is approaching I have one GIFT for you


Please receive it and May God Bless you for taking your time to visit us.


Stay Tuned as more and more will be happening here at Rejoice and Rejoice.....Here is your GIFT, Open with a Smile.....Wow

                                                                  Thank you Lord

Wednesday, November 20, 2013

Christina Shusho anakuletea Tamasha Kubwa la Nataka Nimjue


Christina Shusho muimbaji wa Nyimbo za Injili

Muimbaji mahiri wa Nyimbo za Injili nchini Tanzania Christina Shusho anategemea kufanya tamasha Kubwa la kusifu na kuabudu litakaloambatana na kurekodi Live Albamu ya Nataka Nimjue.

 

Uzinduzi huo unategemea kufanyika Jumapili tarehe 24/11/2013 katika ukumbi wa Kanisa la CCC Upanga mkabala na Mzumbe University Dar.

 


Siku hiyo Christina Shusho atasindikizwa na waimbaji wengine mahiri wa Nyimbo za Injili kama Bahati Bukuku, John Lisu, Upendo Kilahiro, Paul Clement, Joshua Mlelwa, Amani Kapama, The Voice and Kinondoni Revival Choir

  


Kiingilio ni 10,000/= Wakubwa, 20,000/= VIP na 3,000/= Watoto

 

Historia yake ya kuimba Christina Shusho ilianzia alipokuwa Sunday school kanisani, akaendelea kuimba Kwaya mbalimbali na mwaka 2004  ndipo alipoweza kutoa album yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la Ni Kitu Gani.

                                        Waweza kuangalia Nataka Nikujue hapa

Alipokuwa akizungumza na Blog ya Rejoice and Rejoice Christina Shusho alisema siku hiyo watu wategemee kukutana na Mungu wa leo na kuna kitu Mungu anakwenda kufanya maana atatembelea watu kwa kupitia ibada ya kusifu na kuabudu. Watu watakutana  na Nguvu ya Mungu.

 

 
CHRISTINA SHUSHO Rejoice and Rejoice Blog tunakutakia maandalizi mema na Mungu akakutumie siku hiyo, Amen

Tuesday, November 12, 2013

Don’t Play with Sin by Pastor Dondo


Opening Scripture comes from Judges 16: 1-21

 

“1 One day Samson went to Gaza, where he saw a prostitute. He went in to spend the night with her. 2 The people of Gaza were told, “Samson is here!” So they surrounded the place and lay in wait for him all night at the city gate. They made no move during the night, saying, “At dawn we’ll kill him.”

 

3 But Samson lay there only until the middle of the night. Then he got up and took hold of the doors of the city gate, together with the two posts, and tore them loose, bar and all. He lifted them to his shoulders and carried them to the top of the hill that faces Hebron.

 

4 Some time later, he fell in love with a woman in the Valley of Sorek whose name was Delilah. 5 The rulers of the Philistines went to her and said, “See if you can lure him into showing you the secret of his great strength and how we can overpower him so we may tie him up and subdue him. Each one of us will give you eleven hundred shekels[a] of silver.”

 

6 So Delilah said to Samson, “Tell me the secret of your great strength and how you can be tied up and subdued.”

 

7 Samson answered her, “If anyone ties me with seven fresh bowstrings that have not been dried, I’ll become as weak as any other man.”

 

8 Then the rulers of the Philistines brought her seven fresh bowstrings that had not been dried, and she tied him with them. 9 With men hidden in the room, she called to him, “Samson, the Philistines are upon you!” But he snapped the bowstrings as easily as a piece of string snaps when it comes close to a flame. So the secret of his strength was not discovered.

 

10 Then Delilah said to Samson, “You have made a fool of me; you lied to me. Come now, tell me how you can be tied.”

 

11 He said, “If anyone ties me securely with new ropes that have never been used, I’ll become as weak as any other man.”

 

12 So Delilah took new ropes and tied him with them. Then, with men hidden in the room, she called to him, “Samson, the Philistines are upon you!” But he snapped the ropes off his arms as if they were threads.

 

13 Delilah then said to Samson, “All this time you have been making a fool of me and lying to me. Tell me how you can be tied.”

 

He replied, “If you weave the seven braids of my head into the fabric on the loom and tighten it with the pin, I’ll become as weak as any other man.” So while he was sleeping, Delilah took the seven braids of his head, wove them into the fabric 14 and[b] tightened it with the pin.

 

Again she called to him, “Samson, the Philistines are upon you!” He awoke from his sleep and pulled up the pin and the loom, with the fabric.

 

15 Then she said to him, “How can you say, ‘I love you,’ when you won’t confide in me? This is the third time you have made a fool of me and haven’t told me the secret of your great strength.” 16 With such nagging she prodded him day after day until he was sick to death of it.

 

17 So he told her everything. “No razor has ever been used on my head,” he said, “because I have been a Nazirite dedicated to God from my mother’s womb. If my head were shaved, my strength would leave me, and I would become as weak as any other man.”

 

18 When Delilah saw that he had told her everything, she sent word to the rulers of the Philistines, “Come back once more; he has told me everything.” So the rulers of the Philistines returned with the silver in their hands. 19 After putting him to sleep on her lap, she called for someone to shave off the seven braids of his hair, and so began to subdue him.[c] And his strength left him.

 

20 Then she called, “Samson, the Philistines are upon you!”

 

He awoke from his sleep and thought, “I’ll go out as before and shake myself free.” But he did not know that the Lord had left him.

 

21 Then the Philistines seized him, gouged out his eyes and took him down to Gaza. Binding him with bronze shackles, they set him to grinding grain in the prison.”

 

We are living in a world where there is a big chance to sin

The opportunity to sin is more now than ever before

The things that seen as development or success are the one misused to do sin for example mobile phones, internet

The devil is using attractive invention to attract people to sin

Roman 3: 23 “ for all have sinned and fall short of the glory of God ”

Temptation is not Sin but when you allow yourself to dwell in that temptation then it become a Sin

Men are tempted by what they see but what follow after seeing is Sin the fantasizing

The example of Samson as we read portrayed what we are doing as believers

You should decide Now where do you what to live after your death

Do you choose Heaven or Hell

Samson was set apart by God for a special assignment in such a way a razor was not allowed to touch his hair

Judges 13: 5, Even though Samson was powerful he has a weakness to women

Sin has negative effects to life of Samson

 

Three things to learn from Samson

Wednesday, November 6, 2013

SIKU MBILI TU ZIMEBAKI MKESHA WA VIJANA KATIKA KULITAFUTA KUSUDI

 
 
Ule mkesha tuliokuwa tunausubiria bado siku mbili mpendwa nakushauri ujiandae kupokea maana Mungu ameandaa mambo makubwa kwa ajili yako wewe utakayechukua hatua ya kufika katika mkesha huo.
 
Njoo wewe unayetaka kulitafuta Kusudi Mungu alilokuwekea hapa duniani na hautaondoka kama ulivyokuja.
 
 
Ni Ijumaa hii tarehe 8/11/2013
 
Palepale St Columbus Youth Hall,Palm Beach Upanga