Wednesday, October 15, 2014

Uchumba hadi Ndoa: Do you want your Spouse to changeWengi wanataka kuona madadiliko kwa wenzi wao lakini hawako tayari kubadilika kwanza, hebu mpendwa wangu chukua hatua ya kubadilika leo.
Utakapobadilika na mwenzi wako utashangaa anabadilika

Muombe Mungu akuonyeshe ni eneo gani unatakiwa kubadilika na ukabadilike leo
Hata kama unaona hiyo tabia ni ngumu, mkabidhi Mungu yeye anaweza yote hakuna jambo gumu asiloliweza.


Mungu atusaidie na akakusaidie pia, Amen

No comments:

Post a Comment