Monday, February 4, 2013

John Lisu: Nimekubali kuchungika chini ya wachungaji wanguManeno hayo John Lisu aliyasema jana katika uzinduzi wa Albamu yake ya pili "Uko Hapa"
Uzinduzi huo umefanyika katika kanisa la CCC-TAG Upanga jana alasiri...
Kwa maneno yake alisema yeye hata kama atafika viwango vya juu sana hatakaa aache kuwa chini ya uangalizi wa Wachungaji wake. Maana imekuwa ni tabia ya waimbaji wengine wakishakuwa juu basi hawapatikani tena makanisani kwao,kitu ambacho si sawa...

Twende tuone yaliyojiri.....The MC,The TV Host,Ze Blogger Papaa Sasali kama kawaidaNext Level wakiimba
 
 Watu wakisifu na kuabudu,kila mtu alikuwa na furaha

Next Level from CCC

MC akicheza kwa Furaha
Bishop Ranwell Mwenisongole kutoka CCC akifungua kwa neno na maombi,kulia kwake ni Pastor Deus CheyoChidumule akipozi kusubiri kuanza kuimba,kwakweli kumtumikia Yesu kuzuri huyu baba anazidi kuwa kijana
Hapa ilikuwa Celebrations....Shake your body...

View ya Ukumbi w CCC kwakweli ni pazuri sana
 
Now comes Glorious Celebrations on the Stage............watu weeeeeeeeee
Sebene ndio kama hiyo wazee kwa vijana twende kazini

 
 
Pastor Safari alitupatia Surpriseeeeeeee....aliimba na the Voice yaani it was fantastic
Muda si muda wakaingia waimbaji wa siku hiyo ambao ndio wamefanya tuwepo mahali pale,John Lisu and the Team...Woww..Kwanza walikuwa simple na wamependeza sanaaaa

Huyu msichana jamani anaimba vizuri sana sanaaa


Hapa unaweza kumuona John Lisu na my wife wake


Wow wowww..Now comes on the Stage John Lisuuuuuuu.....tataraaaaaa....tataraaaa
Jehovah Yu Hai......Yu Hai Milele..Maitaifa......weweeee,haya wale wa sijui kwaito sijui kuruka ruka juuu..ndio hapo


Wamependeza enheee si ndio jamani


Naona wachungaji na wake zao nao wakifurahia


Uko Hapaaaaaaaaaaaaaaaa...ooh My God sijui nisemeje juu ya huu wimbo mimi,yaani you can feel the presence of the Lord so Strong,Get your copy tu ndo nachoweza kusema


 
Watu wakicheza na kupokea kwa furaha maana ilikuwa ni furaha na vilio vya furaha pia
Hapo sasaaaaa......

Unaweza kuona watu wakiwa katika uwepo


John Lisu jana alitoboa siri ya nani anamtungia nyimbo zake...unataka kujua....Ni YESU....ndio maana ziko kama zilivyo
Yaani John Lisu anaimba kutoka ndaniJohn Lisu na mke wake Nelly wakiombea baraka na kuzindua Albamu "Uko Hapa" na wachungaji wao wa kanisa la DPCJohn Lisu ni mnyenyekevu sana hilo nililiona nilipoongea nae Live wakati wa Interview5 comments:

 1. Replies
  1. wajina uko juu hop 1 day i will se u nadhani tunafanana kiutundu ndani ya YESU,hahaha

   Delete
 2. Uzinduzi ulikuwa bomba sana mpendwa nami nilikuwepo kwa kweli upako wa Bwana ulishuka kwa namna ya kipekee na watu wakasujudu wakaabudu etc katika yote Bwana Yesu alipewa utukufu....keep it up John Lisu..pata nakala ya cd...madhabahu inayotembea ya kumwabudu Mungu wa kweli

  ReplyDelete
 3. Tunashukuru sana blogger kwa kutujuza yaliyotokea kwa sisi tulio mbali...kama tulikuwepo vile. Ubarikiwe sana kwa huduma yako.

  ReplyDelete
 4. Very nice-i was there all the way from mombasa and it was indeed an awesome time in the presence of Jehova- and to the blogger.....)Ou captured it very well. Baraka tele -Nimo Demba

  ReplyDelete