Monday, October 1, 2012

UKIDA DAY YAFANA


                                     UKIDA DAY Yearly Party
Venue: Ndege Beach
Event: Family PartyKwa mara nyingine tena UKIDA Day imefanyika jana tarehe 30/09/2012.
Ilifana sana na kila mtu alifurahi kujumuika kama ndugu pamoja


Kwa matukio zaidi fuatilia katika picha....Mara baada ya kufika Ndege Beach watu wakisubiri na kusalimiana,namuona Bro Martin,Mrs Kimaro,Mrs Mawere(The Blogger),mamaaa Maureen Fashion Mwenyewe alijitia nguvu katika Bwana akatinga ndani ya shughuli,nakupongeza sana mpendwa na Mungu akuponye!


                                        Mama Lema akifungua kwa neno,maana huu Umoja unamtanguza sana Mungu mbele

Watu wakisikiliza kwa makini


 Watoto wakipata kifungua kinywa,maana tulianza mapema kabisaaa
Namuona pale Designer wangu mama Whitney Fashion akihudumia kwa upendo supu pale..


Watu wakipata supu najua kuna mtu hapa amefikishwa
 
Kazi ya kulea ilikuwa inaendelea kama kawaida mimi na mama Kimaro tulikuwa very busy na huu utumishiMafiwi wa nguvu nawaona hapa wakifurahi kabisa


Michezo ya watoto ilikuwepo na walifurahi sana    Sandra akiiimba na Live Band,jamani huyu mtoto ana talent ya ajabuSijui hii kwanini imegeuka my half akiwa kapozi anakula upepo wa bahariHaya haya MICHEZO ikaanza kwa Kishindo,watoto ndo wameanza hapa wamejitahidi sana makofi kwao tafadhali....


 Michezo ikiendelea ...........
 
  Wamama wakishindana.....
                          Vijana wakishindana....
 
 Mchezo wa Yai watoto......Marathon nayo ilikimbiwa.....si watu kuhema


 
                                            Mapumziko na lunch Namuona Mr Lamboghin na Bro God
ZAWADI KWA WASHINDI


Mwenyekiti wa UKIDA Prof Lema akisisitiza jambo,nafikiri ni UMOJA 

3 comments:

 1. Kwakweli tulifurahi sanaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. dah aisee nimetoka kwenye picha moja tu....

   naike

   Delete
 2. ha ha ha haaaaaaaaa Naike

  ReplyDelete