Thursday, October 31, 2013

Evangelist Paulex Lebon Edkann kuzindua DVD ya Album inayokwenda kwa jina la Imani


Ev. Paulex Lebon Edkann 
 
Mwinjilisti na Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Paulex Lebon Edkann  anategemea kuzindua DVD ya albamu iitwayo Imani siku ya Jumapili Tarehe 3/ 11/ 2013.
Uzinduzi huo unategemea kufanyika katika Kanisa la Breakthrough Boko kwa Mchungaji Simtovu lililopo eneo la Boko Magengeni 

Video hiyo imerekodiwa na Happy Times Movies

 


Hii ndio Albamu itakayozinduliwa


Akiongea na Rejoice and Rejoice mwimbaji huyo wa Nyimbo za Injili amesema watu wategemee kukutana na Nguvu za Mungu, maana watamwabudu Mungu katika Roho na Kweli.


Wote Mnakaribishwa


Kwa mawasiliano Zaidi piga namba hii 0768209020

No comments:

Post a Comment