Tuesday, October 29, 2013

Mkesha Mkubwa wa Vijana wa aina yake katika Kulitafuta Kusudi

 


Haya tena wapendwa wakati ndio huu tuliokuwa tunausubiria kutakuwa na Mkesha Mkubwa sana wa Vijana.

 Tofauti na tulivyozoea Mkesha huu utakuwa na vitu vya tofauti maana vijana wataweza kujfunza masomo mbalimbali ya kuwawezesha kulitambua Kusudi lao waliloitiwa na Mungu hapa Duniani.

 
Katika Mkesha huu The Doxas Kutoka Word Alive watatuongoza katika Kusifu na Kuabudu Mungu wetu.

 

Wapi: St Columbus -Palm Beach Upanga

 

Lini: 08/ 11/ 2013  Saa 3:00 Usiku hadi 12:00 Asubuhi

 


Kiingilio: BURE

 

Watoa Mada (Speakers):

 •Luphurise Lema- Mawere  --Marriage, Are You Ready

 

•Geofrey Thobias       --Kutambua Kusudi Lako

 

•Godwin Gondwe    --Challenge of New Technology

 

•James Mwang`amba  --Catch Your Dream

 

Kutakuwa na Waburudishaji Mbalimbali kama MC Pilipili, Clown Chavala,Conrad & Clay, God`s Generation

 


WOTE MNAKARIBISHWA HATA KAMA SIO VIJANA

2 comments: