Wednesday, November 14, 2012

Who is a Christian? ......Mkiristo ni nani?

Mara nyingi watu hujiuliza swali hili Mkiristo ni nani au anatakiwa kuwaje? Tunakaribisha mchango wako kwa unavyojua wewe je Mkiristo ni nani,au ni mtu wa na namna gani?
Je ni matendo,au kwenda sana kanisani au kuwa karibu na mchungaji au kuna la ziada,karibu utueleze mchango wako ni wa Muhimu sana utamjenga mtu mwingine.....


Jinsi ya Kushiriki,bonyeza hapo palipoandikwa Comment halafu andika mchango wako kisha katika kiboksi kidogo hapo chini changua name uandike jina lako au kama hutaki kuandika jina lako utumie anonymous....kisha utume Send..


Karibu sanaaa


2 comments:

  1. Mkristo ni mfuasi wa kristo na aliye kubali kuishi chini ya sheria na maelekezo yake. hapo tunaona pia akiwa mfuasi atakuwa anaisoma biblia ambayo ni dira ya kila mfuasi wa kristo....ina maelezo ya kutosha kuhusu maombi, kumtegemea Mungu, kukutana for fellowship/ibada/maombi, kufundisha/kushare etc.

    ReplyDelete