Tuesday, June 17, 2014

KKKT Kinyerezi: Watu wasiopungua 50 wampa Yesu maisha yao katika Ibada ambayo Mwalimu Samwel Mkumbo alihudumu

 
Mwalimu Samwel Mkumbo akifundisha Neno la Mungu katika Kanisa la KKKT Kinyerezi
 
Watu wakisikiliza neno la MUNGU kwa umakini

Kwaya ya vijana Mwenge KKKT wakiimba

Mwalimu Mkumbo akifundisha na kusisitiza jambo

Watu wasiopungua hamsini walimpa Yesu maisha yao, Utukufu kwa Bwana Yesu
 
Watu wakishangilia baada ya kumpa Yesu maisha yao, Halleluya

Maombi yakiendelea, kuombea pia kamati mbalimbali za Kanisa
 

                                 Mch. Manford akiwa na Mwl Samwel Mkumbo
 
 
 

No comments:

Post a Comment