Thursday, March 28, 2013

Mambo yalivyokuwa Uzinduzi wa Albamu ya "Malipo" ya MC Makondeko...

Uzinduzi ulifanyika katika kanisa la City Harvest Church,lililopo Victoria Filling Station Building,2nd Floor.
Fuatana  nami............


MC Makondeko akisema neno la shukrani

MC Makondeko na familia yake

 Hapo sasa Masanja Mkandamizaji naye alikuwepo,
unaweza ukapata hisia wa jinsi alivyovunja watu mbavu
                                           


                    MC wa Shughuli Bwana Harusi Mtarajiwa Lawrence Mwamtimwa kama kawa


                                        City Harvest Praise Team haoooooo


                                                  Watu walijaa mno
                                                                Mwimbaji Sifa John
                                                     Ilikuwa ni kucheza na kuruka


HAPO SASAAAAAA ENHEE ..SIJUI NDO ILE MFALME DAUDI DAUDI....ALICHEZA

No comments:

Post a Comment