Tina Marego muimbaji mahiri wa Nyimbo za Injili |
Majina yangu kamili naitwa Justina
Mwita Marego
Na katika uimbaji natumia Tina
Marego
Minimeokoka nanina abudu EAGT
Tabata Kimanga,nasali kwa baba yangu yeye ni mchungaji hapo
Blogger: Historia yako kwa Kifupi ya
kuimba,yaani ulianzaje na wapi?
Nilianza kuimba nikiwa naumri
wamiaka kumi na miwili nikiwa kanisani kwenye Sunday School kanisa la EAGT
Urafiki chini ya Passtor John Zakaria ambae kwasasa ni Askofu wa jimbo
Blogger: Amina Tina
Ujumbe una nguvu sana huo,Zaidi ya kuimba ni kitu gani kingine
unachofanya
Tina Marego katika Pozi |
Blogger:Katika kuimba kwako je umeshatoa
Album au single yoyote? Itaje ina nyimbo ngapi?
Katika kuimba kwangu namshukuru
Mungu nimetoa album inaitwa Bwana ni Nuru,yenye nyimbo nane nazo ni:
1. BWANA NI NURU.
2. UUMBAJI WA MUNGU
3. SASA WOTE
4. KIMBILIO LETU
5. TUAMKE
6. UNAHUZUNI
7. NISHUJAA
8.
MSIFU
Blogger: Wimbo unaoupenda katika nyimbo zako
Wimbo ninaoupenda kati yahizi
nihuu wa Kimbilio Letu
Albamu ya Bwana ni Nuru |
Blogger:Ni kwanini unaupenda huo
wimbo/nyimbo
Huwa unanifariji sana kwakweli
nikikumbuka bila huyu Yesu mi ningekuwa wapi leo hii na ndio maana nikaupa jina
Kimbilio Letu
Blogger:Nani anasambaza kazi zako? Je
anakusaidia vizuri?
Kwakweli sina msambazaji wahii
kazi yangu ila nimetoa copy kadhaa nikialikwa uwa naenda nazo
Blogger:Kuna mafanikio gani umeyapata
katika kuimba kwako nyimbo za Injili
Mafanikio niliyoyapata nimejuana
nawatu wengi nakujulikana pia kwa wengi kuna watu wengine sikutegemea ipo siku
tutakaa nao nakubadilishana mawazo nao lakini kupitia hii huduma yangu nimeweza
kukaa nao meza moja namshukuru Mungu kwa hilo
Blogger:Umekutana na changamoto gani katika
safari yako ya kuimba
Changamoto zipo nyingi kwakweli
labda mojawapo kugongana kwaratiba studio yani kupangiwa muda mmoja zaidi ya
mtu mmoja pia producer anakwambia uje asubuhi lakini yeye anachelewa inashusha
kwakweli mudi yakuimba maana umekua umekwazika
Blogger:Unaonaje Music wa Injili hapa
Tanzania?
Kwakweli kwa hapa Tanzania Music
wa Injili umekua sana tofauti na hapo nyuma kwasasa waimbaji n iwengi mno.
Blogger:Na Unatoa Ujumbe gani kwa
waimbaji wa Nyimbo za Injili ambao kwa njia moja au nyingine wanajisahau na
kujichanganya na mambo ya dunia hii
Miningependa kuwashauri wachague moja sababu Mungu
wetu hapendi michanganyo,kama umeamua kuwa kwa Mungu kaa kwakwe nakama umeamua
huko Duniani baki huko ili tujue moja sikukaa mguu pande hueleweki,chagua
moja,waswahili wanakwambia mtaka mawili moja humponyoka!
Tina kama kawaida |
Zaidi nakuimba huwa nawasaidia
watu nyimbo zao kama backvocal katika Chorus tunaelewana tu!
Blogger:Je kimaisha je uko wapi? Umeoa au
Hujaoa bado? Watoto wangapi?
Kimaisha mimi bado nipo
nyumbani,sijaolewa wala sina mtoto
Blogger:Una Ujumbe gani kwa Waimbaji wa
Nyimbo za Injili hapa Tanzania
Ujumbe wangu kwao tuwe na ushirikiano
yaani umoja na moyo wa upendo kwa wote
Blogger: Una Ujumbe gani kwa Jamii
inayoburidishwa,kuinuliwa na kubadilishwa na nyimbo za Injili
Napenda kuwaambia wapende nyimbo
zawaimbaji pia wawasupport katika huduma zao ilii tuweze kumtukuza Mungu pamoja
Tina Marego Rejoice and Rejoice blog inakushukuru sana kwa kuwa nasi na kwa muda
wako,Mungu akubariki na kukuinua unavyoendelea kumtumikia kwa uaminifu.Amen
Hongera sana Tina Mungu aendelee kikutumia
ReplyDeleteMungu wa mbinguni akubariki. Na akuwezeshe kumtukuza kwa njia ya nyimbo za sifa na kuabudu.
ReplyDeleteMartha Macha Msale
I nеed to to thank you for this very goοd read!
ReplyDelete! I absοlutely enjoyed еvеry bit οf it.
I have got you saνеd as a favorіte to look at new stuff you poѕt…
Also viѕit my blоg post instant loans
Also see my web site - instant loans
Awesome blog! Is your theme custom made or did you download it from somewhere?
ReplyDeleteA design like yours with a few simple tweeks would really make my blog jump out.
Please let me know where you got your design.
Thanks
Look into my blog - Ohio Moving