Wednesday, November 9, 2016

TAMASHA LA THE DRIVE SEASON 4 LAFANA CITY HARVEST CHURCH

Tamasha la kusifu na kuabudu lililofanyika kanisa la TAG City Harvest likiwahusisha wanafunzi wa Vyuo mbalimbali vilivyoko jijini Dar es Salaam liliwavutia watu wengi katika kumsifu na kumuabudu Mungu.

Timu ya kusifu na kuabudu kanisani hapo, The City Shakers iliungana na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali pamoja na vikundi vingine vya muziki wa Injili kama vile R.I.O.T, Generation of Praise katika kumsifu na kumuabudu Mungu

Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyoendelea kanisani hapo siku ya Ijumaa iliyopita katika mkesha wa tamasha hilo

Mnenaji wa kwanza Mchungaji Florence Mbago
Mnenaji wa pili Mchungaji Einstein Muro
Mchungaji Kiongozi Architect Yared Dondo na Mchungaji wa Kanisa Matilda Dondo
The City Shakers katika picha ya pamoja baada ya tamasha
Kundi la City Shakers wakiwa jukwani
Hope Muimbula akiongoza katika kuabudu
Esther Bernard akiongoza sifa wakati wa The Drive
Baadhi ya CUs kutoka Chuo Kikuu Ardhi wakiongoza sifa na kuabudu katika The Drive
Namna ilivyokuwa katika tamasha The Drive
The City Shakers katika ibada
Ilivyokuwa katika The Drive Season
Ilivyokuwa katika usiku wa The Drive
Baadhi ya CUs wakiongoza sifa na kuabudu katika The Drive
Ilivyokuwa usiku wa The Drive Season
The City Shakers katika sifa
Sifa kwa Yesus
R.I.O.T
R.I.O.T Dancers
Show me the dance
Baadhi ya waliohudhuria usiku wa The Drive msimu wa 4
Tukimpa Mfalme utukufu
Musa Latson akiongoza ibada


No comments:

Post a Comment