Wednesday, June 26, 2013

Hatimaye Samuel Sasali: Blogger,MC na TV Presenter maarufu wa Tanzania avunja ukimya wa muda mrefu........

Yule MC,Blogger,TV Presenter mwenye shughuli nyingi Samuel Sasali ametangaza rasmi nia ya kutaka kufunga pingu Miss Milembe John Madaha,nia hiyo ilitangazwa rasmi katika Kanisa la VCC Mbezi na Pastor Nkone.
Pichani juu Pastor Nkone akitangaza rasmi Samuel Sasali na Milembe John Madaha ni wachumba kwa sasa

Wachumba wakiwa na mwimbaji Ado November

Sam Ssasali na Milembe my wife to be wake...

Samuel Sasali akiwa anafurahi kwa kucheza na rafiki zake


Watarajiwa na familia


Wazazi wa Samuel SasaliSasali na rafiki zake waliendelea kuburika

2 comments:  1. HONGERA SANA KWAO MAHARUSI WATARAJIWA..........

    ReplyDelete
  2. Hngera sana sasali

    ReplyDelete